Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

May 17, 2017

Picha 3 zinazomuonesha Rais mtaafu Dr. Jakaya Kikwete akiwa shambani.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter leo May 17, 2017  Rais mtaafu wa awamu ya nne Mh. Dr Jakaya Mrisho Kikwete, ameweka picha tatu zikimuonesha akiwa shambani, na kuweka ujumbe huu.....

"Mapumzikoni kijijini Msoga, tukiendelea na shughuli za kilimo".